Maumivu Makali Ukeni Wakati wa Tendo la Ndoa.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari zenu jamani,

Mwenzeni ninatatizo yaani toka nijue mapenzi sijawahi kufurahia tendo hilo. Kila nikifanya mapenzi napata maumivu makali mno muda mwingine nahisi maumivu hadi kwenye kizazi. Nikimaliza tu maumivu siyapati mpaka nikifanya tena. Nifanyeje jamani, msinitukane tafadhali.

Karibuni kwa ushauri
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole dada,
    mjibu Hussein atakupa ushauri wa kufaa.

    ReplyDelete
  2. Mm nimekuwa nikiota ndoto nafanya mapenzi na watu tofaut tofauti lakn wengi ni ninaowajua...hz ndoto zina maana gani...@kaka hussein

    ReplyDelete
    Replies
    1. %kunauwezekano unamaambukizi kwenye njia ya uzazi kisayasi but try kumuona drt.but issue ya ndoto hizo kunauwezekano unapepo anakumiliki na hapendi kushea so kama vipi uende ukaombewe.but kama pepo mahaba anakumili yafatayo lazima yatokee...!!kuwa na hasira psipo sababu,kupata maumivu kupita kawaida wakati wa hedhi,kuchukia wanaume hasa wakutakao kimapenzi(mume)kuota unafany....,kuota unanyesha,kuamka huna mudi na mambo(uvivu)kupenda marashi flani.nk. ...but all in all hosptal kwanza wakikosa majibu kaombewe pia shire na mpenzi wako usivumilie wakati unateseka kama ni muelewa atakusapot kuyatafuta majibu.thanks pia pole sana.

      Delete

Top Post Ad