Mwanadada Afanikiwa Kuyagonga Kwa Gari Majambazi 4 Yaliyompora Fedha Kwa Kumtishia na Bunduki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Majambazi wapatao 4 maeneo ya Buguruni Malapa yakiwa na bodaboda yalimvamia dada na kumtaka atoe fedha dada akaambia hataki purukushani na kuwafungulia wachukue fedha,

dada akaingia kenye gari na majambazi wakachukua fedha kiasi cha 420,000, baada ya kuchukua wakaondoka na bodaboda zao kisha dada akawasha gari na kuwagonga baada ya kugongwa wakaruka kwenye pikipiki wakaacha silaha aina ya SMG na wananchi walijaribu kuwakimbiza lakini hawakufanikiwa Video:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yani wamechukua laki4 tu au ni million 4 hiyo au million mia4

    ReplyDelete
  2. Yani wamechukua laki 4 au million4 au million400 hii habari iko vipi

    ReplyDelete

Top Post Ad