Sakata la Lugumi: Mbona Tunababaishwa?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanzoni,ilitolewa taarifa kuwa PAC iliunda Kamati Ndogo kuchunguza zaidi sakata la mkataba wa kampuni ya Lugumi. Kamati hiyo ndogo ilipewa wajibu wa kwenda kujionea ufungwaji wa mashine za utambuzi wa alama za vidole katika vituo vya polisi.

Kamati ndogo ilitarajiwa kuandika na kuwasilisha ripoti ya uchunguzi wao kwa PAC. PAC ilipaswa kupokea ripoti ya kamati yake ndogo,kuijadili,kuamua na kuiwasilisha Bungeni. Haikufanyika hivyo. Makamu Mwenyekiti wa PAC Hilary Aeshi aliahidi kuwa Ripoti ya Lugumi ingewasilishwa katika mkutano ujao wa Bunge.

Jana,Naibu Spika Dr. Tulia Ackson ni kama ameifunga hoja ya Lugumi. Akijivika mamlaka ya Bunge zima,Dr. Tulia alitoa maagizo kwa Serikali kuhusu mashine za Lugumi. Vipi kuhusu kashfa ya kimkataba? Kwanini tunababaishwa hivi kuhusu sakata la Lugumi?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Singida)
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haahahahahahahhaha hahahhahhah hahahha yani leo najisikia kucheka tu na badooo mbona sinema ndo kama imeanza na stering keshauwawa zamani...kwenye sinema hii sterin keshaondoka so the movie is done hahhaahaha tz raha sana

    ReplyDelete
  2. Nina uhakika JPM hatashindwa na hili ili kumaanisha kauli mbiu yake ya HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  3. Mmmmmmmh majanga zaid ya Snura

    ReplyDelete

Top Post Ad