Stanbakora Afunguka Kuoa Mwarabu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MKALI wa vichekesho nchini, Stanley Yusuph ‘Stanbakora’, ameweka wazi kwamba mwakani ndiyo ataoa tena mwanamke mwenye asili ya Kiasia.

Alilifafanulia MTANZANIA kwamba chaguo lake kwa wanawake ni wenye asili hiyo hasa kutoka Uarabuni na awe mcha Mungu.

“Sina mpango na wanawake wa Afrika, napenda mke na mama wa watoto wangu awe mwanamke Mwarabu na anayejua dini,” alisema Stan Bakora.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. " Sina mpango na mwamamke wa kiafrika!! "

    ReplyDelete
  2. Nia yako Ni nzuri. Na mungu atakujaalia Kula kheri upate huko na niweze kisikilozana na kuishi pamoja milele. Karibu katika web yetu. Muslim ride kuanzoa safari yako hii..mungi akubariki

    ReplyDelete

Top Post Ad