Mkono Advocates Wafungiwa ofisi na TRA Kwa Kudaiwa kodi Sh. Bilioni 1.1

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mamlaka ya mapato Tanzania, kitengo cha walipa kodi wakubwa wamezuia mali za kampuni ya uwakili ya Mkono kwa kudaiwa kodi yenye thamani ya shilingi za kitanzania Zaidi ya bilioni moja.

TRA imetuma barua kwa kampuni ya minada ya Yono na jeshi la polisi ili kuzuia mali za kampuni ya mkono na kuziuza au kuziweka kwenye mnada ili kufidia kodi na gharama zote za usumbufu kulingana na sharia ya kodi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni lazima kodi halali. Zikusanywe katika muda maalum. Na atakae keeps tutambana mpaka. Azilipe na akishindwa YONO IPO na itapikea kkwa mikono miwili kupata biashara na kuweza kutirudishia pesa baada ya mnada kwisha..na huwa hawachelewi Ni watendaji waziri na Ni mahiri katika kazi zao..tunaomba ttarehe na mahali pa mnada...KODI HAILALI NI WAJIBU WA KILA MDAIWA KULIPA

    ReplyDelete

Top Post Ad