BREAKING NEWS: Serikali laifungia gazeti la MSETO kwa miezi 36 lisichapishwe nchini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye leo Agosti 11.2016, ametangaza rasmi kulifungia gazeti la MSETO kwa miezi 36 lisichapishe Habari zake hapa nchini kwa njia yoyote ile kutokana na kukiuka maadili ya taaluma ya Habari.


Waziri Nape Nnauye ametoa tamko hilo huku akizitaja tuhuma mbalimbali zikiwemo:  Uchochezi, Uongo na Upotoshaji ambapo hazizingatii kanuni za taaluma ya uandishi wa habari.


 Amri hiyo ya kulifungia gazeti la mseto imetokana na tangazo la Serikali namba 242 la tarehe 10/8/2016 kwa mujibu wa sheria ya magazeti ya mwaka 1976 sura 229 kifungu cha 25(1)


Aidha, Waziri Nape amesema gazeti hilo linaandika habari na taarifa za uongo ambazo zina nia ya kupotosha jamii ikiwa ni pamoja na kutumia nyaraka za serikali ambazo zimegushiwa ili kuwachafua viongozi wa serikali na seerikali yao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tanzania yetu hatutaki upuuzi ..uandishi ni Art iliyo namba tena na responsibility.. hawa waandishi waliipitia chuoni miezi mitatu na kupewa ajira baada ya Fulani kuwa Ana hela na anakuja na na Fulani wametuletra maagizo na wameijenga jamii kimtindo Fulani ili wa uweze kuuza majarida hiyo katika solo na kuleta vichwa vya habari siyo ndiyo ili kudumisha solokKiasi ambacho kubadilika itachukua mud a ..tukazane na kuboresha elimu.. maadili na ukweli ni vigezo muhimu..waandishi na wamiliki mnapaswa kuzingatia hilo

    ReplyDelete
  2. MMMMMMMMMMM!!!!KAZI KWELI KWELI

    ReplyDelete

Top Post Ad