Mama Diamond Hapendezwi na Hiki Mitandaoni Kuhusu Mwanae Diamond na Baba yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mama yake mzazi na Staa Diamond Platnumz amefunguka na kuzungumza kinachomkera kwenye mitandao kuhusiana na Diamond Platnumz.

Mama huyo aliipata heshima millardayo.com na & Ayo TV kuyaongea :
Sio kwenye magazeti tu hata kwenye instagram kuhusu Diamond amjali Baba yake hawa watu wanaoandika hivyo wananikera sana ninaumia kwani Diamond kila mwezi anapeleka hela ya matumizi kwa Baba yake sasa sijui hayo maneno yanatoka wapi’
‘Mimi na Baba Diamond tunaongea muda mrefu hata ukisema nimpige utamsikia akiongea lakini nashangaa kutwa watu wanasema Naseeb hatoi huduma kwa Baba yake ni habari si za kweli, sasa hivi anakaa Kagera Dar es Salaam na siku hizi mbili nitaenda tena kumpelekea Chakula na nitaipost ili waone’
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni baba alikuwa analalamika,na wengi walishuhudua kwa macho jinsi alivyokuwa anakosa huduma kutoka kwa Daimond.Sema mmeanza kushirikiana nae baada ya kuona mashabiki na wasio mashabiki wako wanakerwa na kukusakama tabia ya kumtenga baba ndio mmeona muanze huduma.HONGERA NA MUNGU AWABARIKI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani matunzo ni lazima? Huyo baba ana watoto wengi tu sema kisa Diamond anajulikana basi anafikiri ndio kigezo cha kumlazimisha awe na mapenzi naye. Je alivyo mtelekeza Diamond wakati bado mtoto mdogo alikuwa anategemea nini? Je Diamond asingetoka kimziki akawa bado muuza mitumba ange jisumbua? Binadamu nyie ni wanafiki sana, mwenye maamuzi ya mwisho ni mtendwa siyo nyie watu baki.

      Delete
  2. Mrudie basi wewe Sandra
    Mkumbushane ya The bilicana na Margort

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bi Sandra mrudie bibi mzaa chema sahau ya bilicana na Margort mlikuwa nyote watoto
      Kuleni raha nyote wawili
      Kwani madale si una self contain room
      Mwite mzazi mwezio mtese wote
      Hata mama tiffa atafurahi maanake atakuwa busy na Domo na tiffa na wewe u busy na baba Domo
      Wakienda south nyumba yenu
      Swimming pool bi Sandra na baba Domo
      Instagram , Facebook , Twitter
      Zaagaza mipicha
      Kunguru weusi wamwage radhi
      Kuzaa kuzuri shoga

      Delete
    2. ngoja amrudie kwanza baba yako mzazi ndio ataenda kwingine.

      Delete

Top Post Ad