Mpaka Sasa Chadema Wanaonekana Wameshinda Hata Wasipoandamana-Edo Kumwembe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Ukitaka kuwazuia watu wasifanye siasa basi waruhusu wafanye siasa....Mpaka sasa Chadema wanaonekana wameshinda hata wasipoandamana kwa sababu hadithi yao ya UKUTA imekuwa maarufu katika media na public na imewapa uhai kama Chama....wangeruhusiwa kuendelea kufanya siasa zao kama zamani leo wasingekuwa katika kurasa za mbele kama hivi.....wametengenezewa ajenda nzuri ambayo hawakuwa nayo....just thinking" Edo Kumwembe
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chadema kuna watu
    Sio wakurupukaji
    Na wataka sifa
    Tatizo sasa viongozi wengi serikalini wanataka sifa na kukurupuka
    Tanzania ni yetu sote
    Kama kweli serikali inafanya kazi nzuri
    Kwanini isijiamini
    Watanzania si wambumpavu
    Kabisa wanajuwa pumba na mchele
    Inashangaza Kabisa kuona eti polisi wanafanya majaribio
    Makubwa
    Kuchezea maji wakati watu hatuna maji
    Kisa ukuta ????

    ReplyDelete
    Replies
    1. tena wewe ndo mpumbavu wa kwanza, kwenda kule na ukuta wako ngoja ifike tarehe ukashikishwe ukuta gerezani mfyuuu

      Delete
    2. jitu lenyewe limekaa kama shoga

      Delete
  2. Na atawewe Edo umefahamika kwa ajili ya ukuta!! Na mimi nitatoa maoniyangu juu ya ukuta ili watu wanifahamu. Ongere ukuta!!

    ReplyDelete
  3. Mwandishi umekosa cha kuongea ongeenii were ila tare moja ndo mtaona kama serikali haijanyamaza..,hamnapointi saivi za kuwambia wananchi jengeni hoja mnashindwa kupigania katiba ya nchi ipatikane mpya mnachokipiganiha hakina maana jipangeni upya huo ukuta wenu ndo uta was wavu utakatwa poleni sana

    ReplyDelete
  4. Hizi zote ni ishara ya kauli za kuufiyata. Kelele za ukuta zimedhidi kuwavuruga chadema kuwa ni chama cha vurugu Tanzania.

    ReplyDelete
  5. Ukuta wamekosa cha kufanya wanatapatapa tu

    ReplyDelete
  6. HATA WEWE EDO UKUTA IMEKUTAJIRISHA.

    ReplyDelete
  7. Bichwa kama panzi.

    ReplyDelete
  8. NCHI NYINGI AFRICA NDIO MAANA HAKUNA MAENDELEO,
    WENZETU UCHAGUZI UKIISHA MWENDO NI KUPIGA KAZI TU
    LAKINI AFRICAN NI SIASA TUUUUUUUUUUUUUU,NI NYUMBANI NA KUNA SIKU NITARUDI LAKINI DAAAH,MUNGU IBARIKI AFRICA.

    ReplyDelete
  9. DUUU UKUTA KWELI KIBOKO!! SERIKALI YOTE IPO ATTENTION!!!

    ReplyDelete
  10. EDO MWENYEWE ANARUKWA UKUTA KASHAFUMULIWA MARINDA YOTE.

    ReplyDelete

Top Post Ad