Mrema Aanza Kazi Aliyopewa na Magufuli..Ataka Boda Boda Wampe Majina ya Polisi Wanaolazimisha Rushwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenyekiti wa bodi ya Parole nchini, Agustino Lyatonga Mrema, amewataka madereva wa Bodaboda wasijihusishe na maandamano ya kisiasa.

Pia amewaagiza waendesha bodoboda Kinondoni wampe majina ya polisi wanaowalazimisha kutoa rushwa, atayakabidhi kwa Rais Magufuli
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umeiba sera za ukawa toka Lowassa
    Fyuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ndiyo ufunge bakuri lako mfyuuuuuu!!Humjui huyo mzee wakati alipokuwa waziri wa mambo ya ndani maybe mama yako alikuwa bado hajakuzaa au ulikuwa ndiyo kwanza upo shule ya vidudu(kama uliipata bahati hiyo)jinsi alivyo fanya kuhusu hao mafisadi jaribu kuitafuta historia yake kwenye vitabu au mtandaoni utaona kuwa njia wanayotaka kupita hao uliowataja sijui Ukawa/Lowasa wakati huo Lowasa alikuwa hajulikani na mtu kabisa na huyo mzee(Mrema)alijitahidi kuyafanya yanayofanywa sasa na Rais Magufuli au wewe siyo mmbongo nini?Hujui nini kilichotokeaga katika nchi yako?

      Delete

Top Post Ad