​Picha za utupu za kisagaji za mke wa Donald Trump zasambaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Gazeti la New Daily News limechapisha picha za utupu za mke wa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump, Melania.


Limeandika kuwa miaka mitatu kabla ya kukutana na mume wake, Donald Trump, Melania alipiga picha za utupu na mrembo mwingine kwaajili ya jarida la Ufaransa.

Picha hizo za kisagaji zilipigwa huko Manhattan mwaka 1995, kipindi hicho akiitwa Melania Knauss, mwenye umri wa miaka 25 na alikuwa akitumia jina la “Melania K.”


Baadhi ya picha hizo ziliwekwa kwenye jarida la Max la Ufaransa, zaidi ya miaka 20 iliyopita. Baadhi yake hazijawahi kuchapishwa hadi sasa.

Picha kali zaidi inamuonesha Melania akiwa amelala kitandani na mlimbwende aitwaye Emma Eriksson, akiwa mtupu pia nyumba yake.

Alipoulizwa kuhusu picha hizo, Donald Trump alisema: Melania was one of the most successful models, and she did many photo shoots, including for covers and major magazines. This was a picture taken for a European magazine prior to my knowing Melania. In Europe, pictures like this are very fashionable and common.”

Mrembo huyo raia wa Slovenia, mwenye miaka 46 sasa, alikutana na Trump kwenye hafla ya Fashion Week mwaka 1998. walioana January 2005 na wana mtoto mmoja, Baron, 10.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siasa ni maji taka ambayo hutafutiwa mkondo kuelekea kokote ili mradi yatoke pasipotakiwa.Kwani hata kama ni za kusagana,wenyewe wamarekani wengi wanayakubali haya,ajabu kwao ni ipi hapo?

    ReplyDelete
  2. Hivi hata Marekani mnasiasa za maji taka. Mmmmh natutisha . So what this time?

    ReplyDelete
  3. Watanzania Kama ccm walivyokanda Lowassa mwaka Jana
    Yote Tisa wote waliomsema kwa ugonjwa naomba mungu awaonyeshe hapa hapa duniani

    ReplyDelete
  4. KAMA KUTUMBUANA HUKO MAREKANI WAMESHINDA .YAANI KABLA KUWA KIONGOZI UCHAFU WOTE UWE WAZI.HALAFU JUU YENU KUMCHAGUA AU LA

    ReplyDelete

Top Post Ad