AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro amesema…>>>’August 20 2016 Jeshi la Polisi lilipata taarifa toka kwa raia wema kuwa maeneo ya Kinondoni kuna duka linauza flana zenye maneno ya uchochezi yaliyoandikwa ‘’TUJIPANGE TUKATAE UDIKITETA UCHWARA’’ , ‘UKUTA’ ‘
‘Aidha Polisi baada ya kupata taarifa hizo walifika eneo la tukio na kumkamata mtuhumiwa aitwaye YORAM SETHY MBYELLAH miaka 42, mfanyabiashara na mkazi wa Mburahati akiwa anauza fulana hizo dukani kwake‘ –Kamanda Sirro
‘Ili tuishi kwa amani ni lazima tutii sheria na kama hutaki kutii sheria tutashughulika naye, Kama kuna mtu anataka kuvunja amani katika mkoa wetu ajue kabisa hatoweza na niseme tu kwamba kama wanataka kujenga ukuta wajenge ukuta mwingine maana huu umeshadondoka‘ –Kamanda Sirro
‘Na wapo watu wanasema kwanini tunafanya mazoezi, nikwamba Jeshi la Polisi ni kawaida kufanya hivyo na muhimu watu wajue hiyo September 1 hakutakuwa na maandamano ya aina yoyote kwahiyo watu wasiwe na hofu bali wachape kazi‘ –Kamanda Sirro
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Nasikia kuharisha
ReplyDeletePolisi wazima walisomea wapi sheria
Fyuu vyeti feki
Kamanda mzima kunadi fulana za ukuta
Kweli zero zero
Mmetunadishia fulana zetu
Hongera
Ukuta tukutane 1.09.2016
CNN
BBC
DW
Wapo kutoa live
Dunia nzima itazame
UNADHANI UKUTA NDIO ITAMTOA MAGU MADARAKANI??MJINGA WA KUNYWA MAJI YA MTARO WEWE
DeleteMANGAPI YAMEONWA DUNIA NZIMA NA HAKUNA KILICHO BADIKIKA,,,,,HATAKAMA UKUTA UTAONWA DUNIA NZIMA HAKUMA MABADILIKO MAGUFULI NI YULEYULE NA ATAENDELEA KUWA MAGU MPAKA 2020,,,,MLIZOEA SANA VYA MTEREMKO HAPO NDIO KIBOKO YENU,,,,WAKINA MBOE WANA BIASHARA HARAMU CHINI YA KIVULI CHA CHAMA ZIMEBANWA MASILAHI YANA PUNGUA,,,,MNALETA UKUTA LETE HATA MILIMA NA MIAMBA BADO JEMBE HALI TETEREKI POLENI.
ReplyDeleteSasa kupinga Udikteta uchwara nayo ni uchochezi? Mbwa kabisa nyinyi, wala hamjui wajibu wenu.
ReplyDeletemsenge wewe achana na siasa na maji taka, jamaa kawabana kila kona mnajifanya eti udikteta uchwala, pumbavu sana wewe kilaza
DeleteKamanda siro tunakutegemea na imani hakuna mtu ataleta ujinga wa mambo yao ya ukuta wafanyabiashara umetupa moyo tufanye kazi bila uoga wowote wa maandamano ya ukuta mungu akuzidishie ujasiri nchi iendelee kuwa na amani na upendo magufuli oyeeeeeee
ReplyDeleteUKUTA KITU GANI,SHWAINI NYIE
ReplyDeleteNinja masikio wote hao ukuta maana hakuna namna
ReplyDelete