Vera Sidika amtaja anayemsikiliza kati ya Diamond na Alikiba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo wa Kenya, Vera Sidika amejibu swali la ni nyimbo za msanii yupi anazozisikiliza zaidi kati ya Diamond na Alikiba.

“Mimi namsikiliza Diamond,” anasema Vera. “Style yake tofauti kisha nzuri, kisha naona kuwa amejikakamua anatoa hits after hits hatulii, yeye hutia bidii kila siku. Halafu pia si muziki peke yake, ameweza kusaidia vijana kuwapatia nafasi ya ku-explore talent zao, kama sasa hivi yuko na artists ambao wako chini yake which is a good thing,” ameongeza.

Vera amedai pia kuwa anampenda Diamond kwasababu ni baba mzuri na anayetimiza majukumu yake.
Bongo5
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo demu yuko Tanzania sasa hivi, na ingelikuwa wakati wa Utawala wa Kikwete most likely angekuwa kaisha karibishwa pale Ikulu. Dah hiyo Ikulu ilikuwa uvundo wa kila kitu, akina Diamond pamoja na Ali Kiba na Wema Sepetu duh aiseee. Hiyo Nchi ilikwisha oza vibaya sana. Thanks GOD amekuja Mheshimiwa Magufuli ambaye ameifanya Ikulu irudi mahala pake, yaani sehemu Takatifu kama alivyowahi kutamka Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

    ReplyDelete
  2. Big 5 Vera kwa ufasaha wa lugha ulivyojibu swali. Nime admire kiswahili na kiingereza chako

    ReplyDelete

Top Post Ad