AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza jana mbele ya Waandishi wa Habari, Mwenyekiti wa Wasanii hao wapenda amani, Steve Nyerere alisema hamna haja ya maandamano bali tunahaja ya kufanya kazi hususan kwa vijana.
"Vijana ndio muhimili mkubwa kulinda amani ya nchi,tusiwaze maandamano bali tuwaze je Akinamama na Watoto wanapata huduma hospitali"alihoji Steve Nyerere.
Kwa Upande wa Makamu Mwenyekiti wa Wasanii hao, Asha Baraka alisema wameamua kupaza sauti zao kwa niaba ya Wasanii wote wanaopenda amani.
Alisema Tanzania ni nchi ya Amani sio nchi ya vita hivyo wanapofanya shughuli za UKUTA shughuli zote za kijamii zitasimama.
Hatahivyo aliomba Septemba 1, UKUTA wasimamishe maandamano hayo, pia watafute njia muafaka ya kuweza kuongea Vyama kwa Vyama na wakapata muafaka ili nchi iweze kwenda mbele.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hamna lenu jambo
ReplyDeleteSubirini bado kuna vyeo kibao mtapata
Otherwise subirini 2020 mtupigie kampeni
Mungu awabariki
ukuta mbele wa mbeleeeeeeeeeeee
ReplyDeleteWataandamana watoto wa wajinga wasio na kazi za kufanya, hivi mtu unashughuli zako, anawezaje kukuandamisha mtu siku ya Alhamisi!! Kweli wajinga ndio waliwao.....huyo muandaaji mkuu wa hayo maandamano anajiandaa kusafiri.....tunaomba wanausalama muhakikishe hakuna kiongozi yoyote wachadema anasafiri, wote wawe mbele waongoze maandamano........... ticket ya Mbowe Freeman imevuja akijiandaa kusafiri na Emirates tarehe 1/9, hakikisheni HAONDOKI, nayeye lazima aonje JOTO-YA-JIWE.......asituletee zake za MKONO-KU-UGALI-MACHO-KU-MCHUZI yake hapa, yote yatakaa sawa siku hiyo....mfyuuuuu
ReplyDeleteuyo styve nyerere aelewi na grup yake wanacho kiongea. kasema nani kama ukuta ni vita. Tz yetu wote. kila bin adam anamapungufu yake. Tanzania mbele vyama baadae
ReplyDeleteNingefaaaass kuwa mkuu wa wilaya kinondoni
ReplyDeleteLakini sijakata tamaaaa
Isolate tamaaa bado nina vyeo kibao
Ila usiache kunipigia debe ukikosa leo subiri kesho
Nina majipu mengi ya kutumbua
Wabeja nkoyi