Diamond Platnumz Awanunulia Watoto wa Zari Nyumba South Africa..Adai Walikuwa Wanaishi Nyumba ya Kupanga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kupitia ukurusa wake wa instagram, mwanamuziki diamond platnums amepost mjengo wake mpya uliopo south Africa, huku akimpongeza mzazi mwenzie (mama tiffah) kwenye siku yake ya kuzaliwa

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BIG UP DIAMOND PLANTNUMZ!!!!

    ReplyDelete
  2. Thatvis abuse to the little boy....huwezi kumnunulia nyumba mwanamke ambaye anawatoto na mume mwingine hakafu u toae maneno ya jeuri kwa baba yao....watoto wanao mpenda baba yao hawatakupenda Diomond kamwe na kama wako intelligent hawa haamii kwenye nyumba hiyo ya mama yao...maana wewe step dady ni mnyanyasaji....na gess what???? Zari hatakua comfortable kuishi na Tifa bila kuwaona watoto wake watatu....na wla hatakua Happy maana najua anawapenda watoto wake alio zaa na Ivan....so kwa hao wanaokupa Big Up kwa maneno ya shombo....they don't know what they are doing.....Usimtenge zari na wanae kwa maneno ya shombo kwa baba yao....well He rent the house ni maisha pia wee ulivyokua Tandale ulijua kuna siku utakaa Madale....Usikufuru Mungu.

    ReplyDelete
  3. N.a. yale magarr majumba na pool nyingi zilikua vunga kwa bi zarina si alimcheka We a kila kitu feki kumbe wapi sawa

    ReplyDelete
  4. Huo ni mpango wa Ivan na Zari ..Alikuachia ili ndani ya mwaka na nusu awe umepata nyumba kwa njia yoyote.. kama Zari amekupenda ni bahati yako.

    ILA

    Shombo yako hii na kutembea na wwke wengi itawasaidia kukutema kilaini. Watauza hiyo nyumba ya kero/project wanunue nyumba yao utakayokuwa huna access hata kwa wanao. Unachezea matapeli Diamond. Copy hii msg maana utakuja kuikumbuka.

    Mama mlezi wa kijitolea.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ila #mondi hapo umekurupuka, umetema shudu nn #itazngua ukija drop..... though bdo we ni simbaaaa

      Delete
  5. keep it up #mondi

    ReplyDelete
  6. fuck you admin cz ur 1 sided snitch@ kep snitch beggers.. u'll once be fed up

    ReplyDelete

Top Post Ad