AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Amedai kuwa mastaa wengi wamekuwa wakitumika bure kufaidisha watu wengine na anadhani ni muhimu wakaacha kujishusha kiasi hicho.
Anadai kwa upande wake yeye, hafanyi kitu bure na kudai kuwa hata kuonekana kwenye saa moja kwenye party ya mtu, ni lazima awe amemlipa.
“My standard rate is 3.5 million in one night that including 30 minutes hosting, na sikai less than hour naondoka,” Diva ameandika kwenye blog yake.
“Ifike stage celebs wajue value yao na sio kutumika tu kwa faida ya watu wengine. Chochote unaona pia napost kwenye account zangu za mitandao kinalipiwa., lazima ujue kama wewe ni maarufu lazima ulipwe hata kutweet brand ya mtu mwingine,” ameongeza.
Mtangazaji huyo ana zaidi ya followers milioni 1.1 kwenye Instagram na amekuwa akiingiza mkwanja mrefu kwa kupost matangazo mbalimbali.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😂😂😂😂😂😂😴😴😴😴😴😴😴🍻🍻🍻🍻🍻🍻😹😹😹😹😹😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😜😜😜😜😜😜😎😎😎😎😱😱😱😱😱😭😭😭😭😭😭😷😷😷😷😷😷😷😷
ReplyDeleteNdio kusema kwenye vigodoro na vigoma weye huendagi?? Basi pouwa
ReplyDeletenani atakulipa milion 3 na nusu hata bongo Movie kwenyewe wengi wao wasanii maarufu hawalipwi namna hiyo ndiyo itakuwa wewe kwanza wengi hawakujui wewe ni nani, na unajiita msanii kwa lipi? mbona wewe ni kawaida tu,hata Wema mwenyewe aliye maarufu kuliko wewe halipwi hela kubwa namna hiyo kwa just show up. kama angekuwa analipwa kiasi kama hicho basi angekuwa tajiri sana leo na wala asingeiba umeme
ReplyDeleteHata huyo Diva asingejiuza
DeleteTuko USA nadhani sio Africa, USA kwenye mambo ya dolla, watu wanajiona babkubwa, hata hiyo chage ya huko, ni kulingana na maisha yao, huku bongo ikichenjiwa watu heeeee!!!! Wanasahau ya kwetu ni madafu
ReplyDelete