Kauli ya CHADEMA Kuhusu Hatua za NHC na Rasilimali za Mwenyekiti Mbowe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kutokana na habari zilizoandikwa leo na vyombo vya habari mbalimbali nchini kuhusu tukio la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kupitia kwa madalali wake 'kuvamia' jengo lenye rasilimali za Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe;

Kwa kuwa habari hizo zimehusisha hatua hiyo ya NHC na itikadi au msimamo wa kisiasa wa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye ni mmoja wa wanahisa wa Mbowe Hotels Ltd ambayo ni mmiliki wa rasilimali hizo zilizovamiwa (Ofisi za Free Media na Club Billicanas) na waandishi wa habari wametutafuta kutaka kauli ya chama juu ya suala hilo;

Katika hatua ya sasa, tunapenda kusema kuwa Chama kitalitolea msimamo suala hilo baada ya kuwasiliana na kushauriana na wanasheria wa Mwenyekiti Mbowe ambao wanalisimamia na kulifanyia kazi suala hilo mahakamani.

Imetolewa, Sept' 2, 2016 na;

Tumaini Makene

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
CHADEMA

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi waTZ ni masikini wa akili kiasi hiki??? Mtatufanya hata tusijitambulishe kama ni waTZ kwani mhhh
    Biashara za mwanachama au mwenyekiti wa chama zinahusikaje na chama,, hata msemaji wa chama hajui cha kusema kwani waliomuuliza na mataila na aliyejibu sijui ni naniii

    ReplyDelete
  2. Ama kweli!! Huvyo tunajielewa ama tunachanganya kama tulivyo changanyikiwa? Chana na Deni la Mjengo wapi na wapi!! Una deni unalipa kama hukulipa utalipishwa!! au ndiyo siasa hizi za uchwara iwe ndiyo ngome na kinga mimi myakiti!! kiti gani hicho au kigoda cha miguu mitatu!! msichanganye mambo mkafikiri mtatuchanganya.. Tuko na fahamu zetu timamu hatutaki upuuzi wenu. Kaeni nao wenyewe wala msituletee katika mitandao yetu tunayo blogu.. Hapa ni Kazi tu..

    ReplyDelete
  3. Maajabu haya! Kwani Mbowe ni Chadema AU Chadema ni Mbowe? Mnatuchanganya changanya sasa sisi wanachama au chama ni sisi... Tuelimisheni makada. Mnanichosha!! siwaelewi au mimi sielewi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwenyekiti wetu mpenzi
      Wewe na hao unawawakilisha
      Wajinga na wapumbavu Kama
      Huyo ngaliba wenu m fool

      Delete
  4. Maajabu haya! Kwani Mbowe ni Chadema AU Chadema ni Mbowe? Mnatuchanganya changanya sasa sisi wanachama au chama ni sisi... Tuelimisheni makada. Mnanichosha!! siwaelewi au mimi sielewi? au sijielewi au HAMJIELEWI.... MAGU PUNGUZA SPIDI .. WANAPATA DAFRAU MAHUTUTI Hivi sasa... HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  5. Maajabu haya! Kwani Mbowe ni Chadema AU Chadema ni Mbowe? Mnatuchanganya changanya sasa sisi wanachama au chama ni sisi... Tuelimisheni makada. Mnanichosha!! siwaelewi au mimi sielewi? au sijielewi au HAMJIELEWI.... MAGU PUNGUZA SPIDI .. WANAPATA DAFRAU MAHUTUTI Hivi sasa... HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  6. Imakuwa siasa tena anadaiwa hadaiwi mlipieni yaishe

    ReplyDelete
  7. Haya chadema mchangieni huyo Mungu wenu anaumbuka. Fuata sheria usalimike. Mtu mzima ovyooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pumbavu ni wewe
      Kama m fool ??!?

      Delete
  8. Akili Watanzania wengi finyu. Ni taifa lisilofikiri ndio maana tunatawaliwa kwa kiwango cha chini.Pata elimu ujue haki yako na uwe huru.Hata mkilazimishwa kuwaogopa na kuwatii viongozi mtatii.

    ReplyDelete
  9. Enter your comment...hapo chama kinahusikaje jamani

    ReplyDelete
  10. Jenga UKUTA vunja MLANGO........shubbhamit!

    ReplyDelete
  11. Shabashhhhh , Watanyooka tu,,...Bado wanalimbikiza madeni yetu ya Maendeleo na Filimbi nyingi!! Jamani Huko TRA yuko Salama???? Mchezo mchezo wa Madili hatutaki Ujanja Ujanja Tumeukataaaaaaaaaa... Nguvu Jasho Tu.

    ReplyDelete
  12. Inazidi kunitia wasa wasi, Ikiwa Pango anatuibia hivi. Je KODI HUKO TRA AMESALIMIKA HUYU!!!!!!!! Naomba arudishwe katika uaminifu kabla hatujafikia ukingoni mwa ukuta. Mwisho ni madongo polomoka... TRA Kazi mnayo na kurudia ulipaji halali na mapitio ni Wajibu wenu na lengo ni ukusanyaji halali. MAGUMASHI NA DILI... HATUZITAKI NA TUMELIKATAA HILO. Wachapa kazi ingieni Kazini.. Hapa Kazi Tu

    ReplyDelete

Top Post Ad