AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio HAWE video Queen wa nyimbo ya Salome na walikubaliana kabisa.... Sema siku ya kushoot alipata zalula hivyo nafasi yake akamwachia hamisa mobeto.... Ila anaamini hangekuwa yeye ndio video Queen basi video hiyo ya Salome ingepata views milioni 2 ndani ya siku mbili
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
sio kweli
ReplyDeleteHaya mambo huenda na nyota. Nyota ya Mabeto na Mond ndo zimeshabihiana katika kazi hii na kusababisha views maelfu.
Alaaaa... Baada ya Wema kukatta dili ya mil 50.. Wewe ulikubali kwa kutaka viewer na siyo ngwenje.. Dili yako ilikuwa ya elfu ngapi?
ReplyDelete"Zalula" (dharura)
ReplyDelete"Hangekuwa"(angekuwa)