Wema Sepetu- Sitaki Kusikia Team Wema, Niacheni na Maisha yangu Wengi Nyie ni Wanafiki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muigizaji maarufu nchini asiyekaukwa na scandal, wema Isaac sepetu, hivi karibuni ameibuka na kuwataka wote wanaotumia mitandao ya kijamii kumsapoti( team wema) kuanzia Leo waache kwani hawajui na wamekua wakimuaribia sana maisha yake, mrembo huyo aliendelea kutiririka kuwa team hizo zimekua zikimgombanisha na watu wengi na kuwa asilimia nyingi ni wanafiki, hivyo amewaomba wote wanajiita team wema waache mara moja na waanze kutumia majina yao kwenye mitandao ya kijamii. 

 Bonyeza Hapa  Chini Kumsikiliza:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndo umeshtuka leo..wema mm ni die hard fan wako lakn hujitambui wewe yani hujawahi kujitambua hata mara moja..leo utasema sitaki team wema kesho utakuwa nao kwenye vigoma...wat the fuck...unataka nn..kama ulikuwa hutaki team wema ulipaswa kuanza kuwaonya from the beginning...now its too late dia wataendelea kukutumia bkz yu dont who yu are...stupid..unaniudhi sana we binti...

    ReplyDelete
  2. MZIMU WA KANUMBA UJE UISHE NI LEO KWELI?

    ReplyDelete

Top Post Ad