Billnas Aungana na Nuh Mziwanda Kumvaa Petit Man

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanzilishi wa kundi la LFLG rapa Billnas ameunga mkono tuhuma za Nuh Mziwanda kwa kumshukia meneja wao Petit Man juu ya uongozi mbaya na upigaji wa hela kupitia mgongo wao.

Billnas akipiga story za eNewz na kusema kuwa matatizo ni kweli yametokea lakini akamshauri Nuh Mziwanda ni vyema kwa sasa wakatafuta namna ya kumaliza mzozo huo.
"Petit ni mmoja kati ya watu wa LFLG, So kama mmoja wetu ana matatizo then wengine wanaweza kutumika kusuluhisha, au vinginevyo anaweza kupunguzwa ili wengine waendelee vizuri na kazi" aliongeza Billnas.
Hapo awali mzozo kati ya Petit Man na wasanii anaowasimamia yaani Nuh Mziwanda na Billnas ulianza kusikika baada ya Nuh Mziwanda kujitoa chini ya usimamizi wa Petii Man kwa madai kuwa ni "mpigaji" na kwamba hutumia majina yao vibaya kupata pesa na pia si meneja anayewajali wasanii wake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni makosa yenu wenyewe kumuweka Petit man kama meneja kama Petit man anaweza kuwa meneja basi hata watoto wadogo wanaweza kuwa mameneja, petit man ana akili za kitoto na vile vile ni mlevi siku moja si alipoteza hela za Wema hela za kushoot move

    ReplyDelete

Top Post Ad