Diamond Afunguka Asema Zari Ndiye Model Aliyewahi Kumlipa Hela Nyingi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkali wa wimbo ‘Salome’ na Mkurugenzi wa WCB, Diamond Platnumz amesema katika ma Model ambao amewahi kuwalipa hela nyingi ni Zari ambaye ni mpenzi wake na Mama watoto wake pia.

Diamond Platnumz akiongea katika kipindi cha The play list cha Radio Times Fm na mtangazaji Lil Ommy baada ya kuulizwa ni model gani amewahi kumlipa hela nyingi.

“Zari ndo mtu ni mlipa hela nyingi katika video ya “Utanipenda” unajua hata kama ni Family ni mpenzi wangu lakini inapokuja kazi lazima iwe kazi japo kuwa nilicho mlipa haikuwa thamani yake japo alifanyia kidogo fever lakini nilimlipa zaidi ya Milion kumi ndo model ambaye nimewahi kutoa hela nyingi tokea nimeanza kufanya muziku” alisema Diamond.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hata ukidanganya huyo hatobisha, ndo maana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama Mimi tu kukujib nimekosa kaz vilivile ulitoa coment kwa kukosa kaz

      Delete
    2. Kama Mimi tu kukujib nimekosa kaz vilivile ulitoa coment kwa kukosa kaz

      Delete
  2. Bi leba kasharudi ug. Hamisa rudi Madale ukaache cheni na chupi. kashadanganywa kanunuliwa nyumba kumbe jina si lake. chezea Domo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Si mama yako anatosha pale madale, inaoneka umetokea kwenye dhiki kali poyeee

      Delete
  3. yaani ni sawasawa unamlipa hela ili umtombe, utamlipaje hela mtu aliye mpenzi wako na yeye kwa nini apokee hela kisa ameonekana kwenye video kama kweli anakupenda angeweza kuonekana bure katika video bila malipo, hapo kweli inaelekea Zari yuko na wewe kwa ajili ya kukuchuna pesa tu na wala sio kitu kingine na ndiyo maana anakuzalia watoto fasta fasta ili baadaye mkiachana atakuja kukuchuna hela za malezi ya watoto mpaka utafilisika hela zote zitaishia kulipa hela ya malezi kwa watoto, we angalia huyo jamaa yake wa zamani kamzalia watoto kibao sasa hivi anafaidika na hizo hela anazopata za malezi kutoka kwa yuke jamaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ushindwe. Walaaah huyajui na walaaah hayakuhusu bali povu tu linakutoka

      Delete
    2. anony 5.31pm we mwenyewe unatiwa kwa hela, sema dhiki yako mbayaaa

      Delete
  4. Haya bwanaaa ni vema sana, ila Dai, muunganishe Saida Kalori kwenye wasafi (WCB)yako bwana ili mpige kazi... mtoto kumsaidia mama siyo mbaya ati...

    ReplyDelete
  5. Wa kulipwa pesa nyingi ni bi Sandra maana ndie aliechukua picha nzima ya nyimbo na aliyevutia huyo Zari aliweka pozi nyingi mpaka akachukiza

    ReplyDelete
  6. its better you keep quite she dont deserve even a peny bila miwigi na makeup she is not in the list ya beauty

    ReplyDelete
    Replies
    1. mpe Dai mama yako basi, yeye si ndio mzuri ha ha ha aha akili ndogo njaa nyingi

      Delete

Top Post Ad