Diamond Awajibu Wabaya Wake Kwa Njia Hii

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ijumaa hii Diamond Platnumz ameachia verse ya pili ya remix ya wimbo wa ‘All the way up’ wa Fat Joe & Remy Ma huku akioekana kuwa jibu wanaomfuatilia kwenye anga zake huku pia mashairi hayo yakidaiwa kuwalenga baadhi ya wasanii wenzake kwenye mistari hiyo.

Hivi karibuni mwimbaji huyo alidaiwa kuwa anatoka na model wa kwenye video yake mpya ya Salome, Hamisa Mobetto kitu ambacho muimbaji huyo hajawahi kukiongelea lakini kupitia wimbo huo amepigilia msumari kwenye mifupa ya wabaya wake. “Mara nakula Hamisa Mobetto, eti Sepenga kaja magheto, ilimradi Zari apate mchecheto, Tale waambie waache unambinambi hata nikila wote dini yangu sio zambi,” amerap Diamond kwenye wimbo huo.

Mstari mwingine unaodaiwa kuleta utata ni ule unaosema, “Siachi pengo hadi waombe poo, wao wakipost tembo si tunapost show.” Sikiliza wimbo huo hapa chini.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Asante wema kufundisha Domo
    Kizungu umemtoa tongo tongo za macho
    Ndo una baraka za bi Sandra

    ReplyDelete
  2. Haaaa penda Mimi wewe daimond tumia kila njia kujaza account yako kichwa kidogo akili nyingi saaaf

    ReplyDelete

Top Post Ad