Meneja wa Alikiba Afunguka Mkasa Mzima wa AliKiba Kushushwa Stejini Ghafla Huko Mombasa.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

American Superstar Chris Brown, Jumamosi ya juzi ali rock kwenye tamasha la Mombasa Rocks Festival, ambalo tamasha hilo lilifanyika kwenye hoteli kubwa inayoitwa Mombasa Golf Hotel.

Mombasa Rock Festival lilikuwa na wasanii wengi wa ku-perform kutoka ndani na nje ya Kenya. Kutoka Bongo tuliwakilishwa na King Kiba pamoja na Vee Money.

Lakini kuna video zinasambaa zikionesha kuwa wakati anaperform Kwenye tamasha hilo, Kiba alipanda juu ya speaker, alitumbuiza nyimbo mbili tu kabla ya mic aliyokuwa anaitumia kuonekana kupata mushkeli/kuzimwa na kumlazimu kuondoka jukwaani na kupandishwa Chris Brown.

Swali..Je kupanda juu ya speaker ndio kulisababisha waandaaji wamshushe Kiba au ?

Kupitia perfect255 ikaona isiwe kesi.. nakumvutia waya moja kwa moja Meneja wa AliKiba, Aidan Charlie nakufunguka haya.

“Hapana kwanza Ilo la kupanda juu ya speaker haikuwa sababu, kwa sababu Wizkid nilimuona pia alipanda na hakushushwa.” aliendelea Aidan

“Issue kubwa iliyokuepo nitime, show ilitakiwa ianze saa 8 mchana na kumalizika usiku kama saa 6 lakini kutokana na wenyewe maorganizer walivyojiorganize mambo haya kwenda kama yalivyopangwa, kwa hiyo baada ya kuanza show saa 8 ikaanza saa 3 usiku.”

“But the time show inaanza wakaperform Navio, Vanessa hata nazizi akaondolewa..” alisema Meneja Aidan.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. salam samahani Ali kiba hajasema kama wewe umezima mike sukuluza vizuri amesema wakati yeye yuko kwenye stage wewe ulikuwepo so ulikuwa una fanya nini ok uwwpo wako haudumbui mtu ila kuna walakini hio hata kama wcb walikuwa kwenye stage na ikatokea kitu kama hicho of course mungefikiria hivo hivo why dont you mind ur business kwanini hata uwende kwenye back stage sasa for your information ukweli nibkwamba iliwauma na iliwachoma King Kiba alipo kuwa kwenye shiw cos hio mulistukiziwa kuwa mkweli na wacheni majungu punguzeni kuwaendea wenzenu kwa waganga muogopeni mungu nyie si waislamu au aunaposema unaweza kumpeleka mtu mahakamani kwa lipi no hakuna mtu ameku acuse unaji acuse mwenyewe kwa kuwa you did it

    ReplyDelete

Top Post Ad