Wema Sepetu Awashushua Wanaomsema Aunt na Zari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Imelda Mtema, Risasi
SUPA-STAA Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, amefunguka kuwa anachukizwa na watu wanaomtolea matusi muigizaji mwenzake, Aunt Ezekiel, baada ya kuhudhuria sherehe ya kuzaliwa ya mzazi mwenza wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.


Akizungumza na Za Motomoto News, Wema alisema unatakiwa ufike wakati watu waelewe na waongozwe kwa akili zao za kuzaliwa kwa sababu hakuna kitu kibaya ambacho amekifanya Aunt, kwa kuwa staa mwenzake huyo kwa sasa ni mmoja wa familia hiyo.


“Jamani hebu naomba kwanza wamuache Aunt, hana kosa lolote, hata kama ningekuwa mimi hapa nisingeweza kuacha kwenda kwa sababu tayari ni familia na hawezi kumuacha mumewe aende peke yake maana vitu vingine ni vya kujiongeza tu, nachukizwa sana na jinsi wanavyomrushia maneno ya kashfa,” alisema Wema.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Du Wema punguza kushonea mawigi yamekuharibu mpaka umekuwa kipara, wee jiangalie kwenye hiyo picha hapo juu inaonekana nywele za mbele zimekatika ile mbaya halafu bado tu unaendelea kusuka ili zikatike zaidi nasema hivyo mimi ni msusi nafanya kazi kwenye saloon

    ReplyDelete
  2. Hajakuomba lakn ushauri ni nywele zake na anaendelea kupendeza kila siku we mwenye nywele zote za mbele plz send yo pic tuone usivyo na kipara...

    ReplyDelete
  3. Wema kunywa soda apo kwa mangi nakuja kulipa, nimekupenda adi nachanganyikiwa. Wape maneno yao

    ReplyDelete
  4. Enter your comment...safi sana wema we mzungu bhana wasiokuelwa basi tena wamerogwa

    ReplyDelete

Top Post Ad