MPENZI Mpya wa Wema Sepetu Afunguka, Adai Hamjui Idris Sultan

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Model anayedaiwa kutoka kimapenzi na malkia wa filamu Wema Sepetu, Calisah amefunguka na kuzungumzia tetesi hizo ambazo zimekuwa zikisambaa katika mitandao ya kijamii.


Kijana huyo ambaye tayari ameshaonekana mara kadhaa katika baadhi ya video za mastaa wa muziki nchini, amemmwagia sifa malkia huyo wa filamu huku akishindwa kuweka wazi kama ni kweli anatoka naye kimapenzi au la!.

“Wema is a beautiful girl, sexy and every man’s dream, na mimi pia ni mvulana mzuri ambaye mwanamke yeyote angependa kuwa na mimi, akiwemo Wema mwenyewe,” Calisah alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV. “Siwezi kusema moja kwa moja kwamba sisi ni wapenzi, lakini lakizima ujue kuwa Wema ni mzuri na mimi mzuri,”

Pia kijana huyo alidai kuwa hamtambui Idris Sultan na hakumbuki kama Tanzania imewahi kuwakilishwa na mtu anayeitwa Idriss katika mashindano ya Big Brother Afrika.
“Who? Idriss, kwani amewahi kuwa Big Brother? Which year?,” aliuliza kijana huyo.
Malkia huyo wa filamu toka aachane na mshindi huyo wa Big Brother Afrika 2014, hajaweka wazi mahusiano yake mapya.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bwana mdogo mfupa huo umemshindwa fisi sembuse wewe?

    ReplyDelete
  2. Yani ushaaanza kuvuruga dogo mapemaaa unaonekana yo sooo self centred....haya tupooo

    ReplyDelete
  3. mwacheni jamani raha jipe mwenyewe EE

    ReplyDelete
  4. Muacheni dogo huyo nae akanyonywe damu kama waliopita.

    ReplyDelete
  5. ajalibiwa na wamaume zaidi ya 200 wote wameshindwa sembuse wewe huyo dada kiboko

    ReplyDelete
  6. DOGO umaarufu sio lazima kutembea na WEMA.Tafuta ngazi nyingine hiyo ngazi ya kamba rahisi kukatika.

    ReplyDelete

Top Post Ad