Mama Diamond Afunguka Kuhusu Nyumba ya Madale..Adai ni yake Kama ni Kuhama Ahame Diamond na Zari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nasemaje bim'danga Mama Chibu Ndo kishasema Mjengo wa Madale anaumiliki yeye, na wale waliokua wakimsimanga kuwa awapishe Kina chibu Na Zari kwenye Mjengo washindweeee, bi Maza anasema wataondoka wao Na wajukuu ila yeye wa hapahapa haondoki ng'ooooooo, Hiyo imekuja baada ya kukumbusha kauli ya Diamond kabla hajatoka ya kuwa nyumba ya kwanza kujenga itakuwa zawadi kwa mama..... 

 Msikilize Mama Diamond Hapa Chini:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Du mama diamond kakonda sana hata kama ni nyumba yako ulipewa kama zawadi lakini si ulishahama

    ReplyDelete
  2. Diamond mpe mama hela akanunue chips mayai ale na ashushie na bia ale anenepe sababu kakonda sana mpaka inatia aibu

    ReplyDelete
  3. Halafu hilo wigi sasa. Hahahahaa

    ReplyDelete
  4. Mswahili,umeula wa chuya mama,tuonyeshe hati basi.

    ReplyDelete
  5. hilo wigi limempendeza kweli kweli, not! he he he he

    ReplyDelete
  6. Hivi huyu mama ana washauri wa nini avae na nini asivae?? Hahaha

    ReplyDelete

Top Post Ad