Mama Wema Sepetu Afunguka Kuhusu Ugomvi wa Wema na Munalove....Adai Marafiki Wanamtumia Kumuuza Kwa Wanaume

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bifu ya Wema Sepetu na Muna Love imeingia ukurasa mpya baada ya Mama Wema Sepetu kujitokeza na kuongea Mengi huku akimpelekea Wema Lawama na kumtetea Muna..Nimekuwekea Sauti hapa chini mama Wema Akiongea kuhusu sakata hilo na kuhusu Wema Kutumiwa na Kuuzwa kwa Wanaume....

Sikiliza Hapa:

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KWELI WEWE MAMA HUNAMATATIZO GANI MAMA MTU MZIMA SHANGINGI KWANINI? JESHUMU KIDOGO MAMA LINDA ASHIMA YA ALIYEKUWA MUME WAKO MBONA MAMA UNAJIZALILISHA MAMA JESHUMU KIDODO PUNGUZA USHANGINGI

    ReplyDelete
  2. RIP mzee Sepetu
    Huwezi amini mama na mwanaye kuchambana mitandaaoni
    Toba

    ReplyDelete
  3. Wema ni mwehuuu Hana akili kabisaa na wala hawezi Endelea ngonoo tuu kila siku mxiuuuu!!!wenzie kina Kim wanafanya umalaya wa Faida lakini sio wema hana akili hata kidogo ngoja tumchekeee very soon atakuwa Hana soko hata kidogo mxiuuuu mtu gani asiye msikiliza mtu yeyote Duniani ,Lol...kazi kwelikwelii ni Sikio la kufa lisilo sikia Dawaa!!!

    ReplyDelete
  4. muacheni mama yetu aongee na nyie mbwa muwe na heshima na watu wazima huyu ni mama yetu acheni aongee machungu yake



    ReplyDelete
  5. wewe mdau uliyeandika kuwa Wema ni ngono kila siku? umewahi kumuona Wema akifanya ngono hata kama mnaona akiwa na wanaume tofauti haimaanishi kuwa analala nao, na kila mama sio mama wa kuwapenda wanao, mimi mwenyewe ni msichana na sijaongea na mama yangu kwa muda wa miaka miwili na sitoweza kuongea naye katika maisha yangu, mama ananiharibia sifa kwa watu anawaambia watu kuwa mimi ni mgonjwa wa akili na pia ninatumia madawa ya kulevya yaani ili watu wanichukie, sababu mimi sijawahi kutumia madawa na hamna daktari yeyote aliyesema kuwa mimi ni mgonjwa wa akili, mama ana wivu saana na mimi, miaka miwili iliyopita nilimkaribisha hapa nyumbani nikafikiri amebadilika kumbe sio aliwaambia majirani zangu na mzee mwenye nyumba mambo mabaya kuhusu mimi ili nifukuzwe, bahati nzuri sijafukuzwa sababu hao aliyoongea nao wamemuona yeye ni muongo na huyo mama tangia miaka miwili iliyopita sijamkaribisha tena hapa nyumbani kwangu, nashukuru Mungu kuwa nilienda shule nimesoma siyo mama hakusoma ndiyo maana ni muongo sana na ni mbishi sana sasa hivi naona anajuta kunikosea sababu nilibadilisha namba ya simu ili asinipate katika simu na mimi haitokei hata siku moja nimpigie simu hapo amekosa mtoto

    ReplyDelete
    Replies
    1. HUNA MAWASILIANO NA MAMAKO MIAKA 2?KWELI WEWE NI MGONJWA WA AKILI.MAMA ALIYEKUPA ULINZI TANGU UKIWA TUMBONI MWAKE MPAKA UMESOMA,HATA KAMA HAJAKUSOMESHA YEYE HAPASWI KUITWA AU KESEMEWA KAMA WEWE ULIVYOFANYA.WATU WENGI LINAPOFIKIA SWALA LA MAMA HUWA TUNANYAMAZA HATA KAMA MAMA ANA MAKOSA.UGONJWA WA AKILI UNAKUHUSU WEWE.

      Delete
    2. Kwa jinsi ulivyo muelezea mama yako anaonekana huyo mama ni mchawi anataka kukutoa kafara kwa hiyo anakusilibia ili utengwe na jamii ili kazi yake iwe rahisi. Kaza buti simama imara wala wewe siyo mgonjwa wa akili. Ila wachawi hizo ndiyo zao ili kukufanya utengwe na jamii halafu uchukue hatua mbaya ya kujiua!! Pole sana kwa ajili ya mama yako ila usikate tamaa.

      Delete
  6. JAMANI TAWI HALIANGUKI MBALI NA MTI. MTU MZIMA UTAUZWAJE KWA WANAUME AU NI MAKUBALIANO YAO? KUZINGIZIANA KWINGINE SIO. DAH

    ReplyDelete

Top Post Ad