AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
naweza kwenda popote,naweza nunua chchte nnachotaka.. M'Mungu kanibariki neema zote kubwa na ndogo.. kitu pekee ambacho sina ni AMANI YA MOYO WANGU" by #nishabebe
MTAZAME HAPA:
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
wewe unalialia nini sisi tunachoshindwa kukielewa na wala hatutaweza kukielewa kama hukutaka mtoto kwa nini hukutoa mimba mapema sababu sasa hivi kuna njia salama za kutoa mimba kama kweli ulibakwa, ni uwamuzi wako mwenyewe umeamua kulea mimba hamna amekulazimisha sasa hivi unalia lia hovyo kwenye mitandao hamna anayekuonea huruma ila unatutia hasira sababu tumekuchoka kila siku mitandaoni kaa kimya hatutaki kuona ujinga wako yaani akili ya kitoto mtu mzima hawezi kulialia hovyo kwa ujinga Wake mwenyewe halafu unaitwa kioo cha jamii, pumbavu wewe
ReplyDeleteUliyataka mwenyewe sasa huna budi kuvumilia
DeleteUliyataka mwenyewe sasa huna budi kuvumilia
DeleteNjoo kwangu mtoto mzruri nikupetipeti utakua na amani moyoni
ReplyDeleteAma kweli kichaa cha mimba kinakaribia kumpata huyu dada khaaa hv mwenye uchungu anaweza kushika na simu akajirekodi kabisaa huku analia we una huzuni au shobo dundoo...mixeewww unachefua wallah hebu lea mimba bibi jikaze ujifungue...tutolee moods za kijinga..utadhan we ndo wa kwanza kubeba mimba...lakn sikulaumu sana ni hormone hizo zinakupelekesha sahv wanawake tuna kazi jamn mi wakati wa mimba kuna kipindi ilifika sitaki kuchana nywele naenda kazin na mabutu kabisaa mume wangu alinivumilia hakika akiniambia nichane nywele hayo matusi nayotoa baba wa watu kimyaa...mpka najifungua ananiangalia haamin...ananiambia ulinipa tabu mke wangu...acha tu huyu mtoto nimpende..so hv ni vimbwanga vya mimba tu...ukishajifungua utakaa sawa..mami pole kwa kichambo cha mwanzo...😊
ReplyDeleteuna uzuri gani ww mpemba weupe tu unakusaidia huna lolote tatizo huo ustaa wenu unawazuzua mbona poleni dunia itawaumbua sana na bado eti mnaiga umarekani
ReplyDelete