Picha: Lady Jaydee Amefunga Ndoa na Rasta Huyu?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huenda Lady Jaydee akawa amepata mwanaume wa kumkabidhi moyo wake. Tangu aachane na mume wake, Gardiner G Habash, muimbaji huyo mkongwe hajawahi kuonekana na mwanaume aliyehisiwa kuwa ni mpenzi wake. Na sasa kwa picha alizoweka Instagram, uwezekano wa kuwa amerejea kupenda tena ukawa ni mkubwa.

Na tena kwa anachokiandika mwenyewe kwenye Instagram, Jide anamaanisha kuwa amefunga ndoa tayari! “Big shout out kwa Coastal air
Kwa kufanikisha safari yangu kwenda honeymoon #ZanzibarIsland,” ameandika Jide kwenye picha akiwa amesimama pembeni ya ndege waliyokodi na mwanaume huyo ambaye ni mgeni machoni pa wengi.

Kwenye picha nyingine hiyo juu, Jide ameandika: Thank you Serena Hotel for the amazing dinner 🙏 we really enjoyed #ZanzibarIsland.”

Pia rafiki yake wa siku nyingi, Monica Joseph ameweka picha za wawili hao na kuandika: My BFF is better than yours .. looking Good My People .. Love Lives here.”

Ni kweli Jide amefunga ndoa? Majibu yatapatikana punde!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani udaku acheni umbea hii picha inaonekana kabisa kuwa wanashoot video wabongo kwa umbea mpaka inatia kinyaa na kichefu chefu sababu hamchoki kuongea lol ndiyo maana hamuendelei kazi kukalisha mitako na kuongea umbea igeni wenzetu wazungu ambao hawapendi kuongea sana na wala hawana mpango wala muda wa kuwafikilia watu na ndiyo maana wameendelea kimaisha na kiuchumi na ndiyo maana na mimi nikahama kutoka bongo kuja kuishi Ulaya umbea wenu nimewaachieni huko huko bongo, huku Ulaya kumetulia tuli na maisha yanaendelea bila umbea na majungu

    ReplyDelete
  2. na kweli udaku ni mimbea Lady Jay dee mwenyewe hajasema wala kufunguka chochote kuhusu kufunga ndoa lakini udaku imeshapanua madomo Yao mara ooh Lady Jay Dee kafunga ndoa Zanzibar na hii ni mara ya pili wanamuandika, udaku sikilizeni kwanza kuwa Lady Jay Dee hajatamka chochote kuhusu ndoa so shut up your mouth!

    ReplyDelete
  3. Wambea sana paka hawa,eti Jidee ana kitumbo cha rasta ndio maana kafunga ndoa na huyo rasta,nyie ni wa kushtakiwa tu pusi nyie.

    ReplyDelete

Top Post Ad