U HEARD: Dogo Janja na Agnes Masogange ni Couple Mpya Town?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

U Heard ya XXL Clouds FM leo November 2, 2016 Soudy Brown amemvutia waya staa wa single ya Kidebe, Dogo Janja ambaye inadaiwa yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na staa mwingine wa kike Agness Masogange.

Dogo Janja amesema kuwa picha inayoonekana kwenye mitandao watu wameitafsiri tofauti tu wao walikua sehemu moja ila mpiga picha alipigia sehemu ambayo iliwaonyesha kama wako chumbani huku Dogo Janja akiangalia sehemu za nyuma za Agness.

“Masogange ni mshikaji wangu sana ni mtu wangu wa karibu watu wamezoea kuniona na marafiki wa kiume tu ni rafiki yangu na niko kwenye maongezi naye kuhusu kushoot video’ – Dogo Janja

‘Unajua baada ya Kidebe nafikiria jinsi ya kurudi tena na wimbo wangu mpya, ukitoa mambo ya kikazi yule ni mshikaji wangu, Agness pale alikua amekaa tu sio kwamba alikua ananionesha makalio ila nisipomtamani yule nitakua na matatizo” – Dogo Janja

Kusikiliza full story bonyeza play hapa chini.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. si ajab Agnes yupo kwenye video ya Dogo Janja sababu Dogo Janja hamuwezi Masogange kwa matumizi, hivyo hivyo mlisema kuhusu Raymond alivyokuwa kwenye video yake ooh Raymond yuko na Masogange sasa yaliishia wapi

    ReplyDelete

Top Post Ad