Huyu Ndio Mwanamuziki wa Bongo Flava Mwenye Mafanikio Makubwa zaidi Kuliko Wanamuziki Wote Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Anaitwa AMBWENE YESSAYA AKA AY ni mmoja wa wasanii ambaye ana mafanikio makubwa sana kimuziki kuliko msanii yeyote yule hapa nchini Tanzania,vile vile yeye ndiye msanii wa kwanza Tanzania kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa mpaka ulaya.Historia yake ya muziki ilianzia miaka 1998

-Pesa yake ya kwanza kurekodi ngoma studio alipewa na mama yake Tshs 20000/=
-Ni mkulima (ana mashamba ya mpunga zaidi ya heka 100 huko ifakara Morogoro
-Ni mjasiriamali mwenye biashara nyingi ikiwemo duka la nguo
-Ni mmiliki wa vipindi vya TV vya MKASI na NGAZI KWA NGAZI vinavyorushwa EAST AFRICA TV

-Anamiliki kampuni ya UNITY ENTERTAINMENT inayojihusisha na uwakala wa kazi za sanaa,matangazo na kuunganisha wasanii,pia kuleta wasanii wa nje


CONCLUSION:HAYO NI MACHACHE KUHUSIA NA SUPER LEGEND AY MZEE WA COMERCIAL
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hanaga Mbwembwe Mzee wa Commercial mbona wanao mjua tunajua kama ni Tajiri ila mambo yake kimya sio kujitangaza...wee udaku ndio unalijua leo pole...

    ReplyDelete
  2. My favourite person nampenda a.y

    ReplyDelete
  3. Mimi nampenda sana huyo AY hapendi kujiona kwamba na kitu gani kama kajamba nani kila siku kwenye mitandao

    ReplyDelete
  4. diamond anahofia kupotea ndo mana anakaa mitandaon mda wt hajiamini awaangalie wanaume kina Ay wapo kimya na hawapoteii

    ReplyDelete

Top Post Ad