Wasafi Kumleta Amber Rose Dar Mwezi ujao?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wasanii wote wa label hiyo wakiongozwa na Diamond watatumbuiza. Lakini huenda kukawa na ugeni mkubwa wa staa wa nje na tayari meneja wa Diamond, Sallam ametease jina.

Akiweka picha ya mrembo wa Marekani, Amber Rose, Sallam ameandika kwenye Instagram, “Wangapi watu wanataka huyu dada ashuke bongo siku akinukishe watu wale nae Bata???”

Naye Diamond alichombeza kwenye post yake: Eti Manager @sallam_sk anauliza wangapi wangependa huyu dada @amberrose siku ashuke Bongo watu wale nae Bata???”

Huenda label hiyo ikawa imepanga kumleta mrembo huyo kuwa host wa tamasha lenyewe.

Hiyo haitakuwa mara ya kwanza kwa ex huyo wa Wiz Khalifa kuja Afrika. Mwaka jana alienda Lagos, Nigeria kwa mwaliko wa D’Banj ambako hata hivyo alikaa jukwaani kwa dakika 7 tu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwa hiyo Wasafi wanataka wamlete gold digger sio? Huyu demu wakati yuko na Kanye West yeye na kaka yake walikuwa wanamuibia Kanye West hela wakati wakiwa likizo kule Mexico, Kanye West alivyoambiwa hivyo tu ndiyo kikawa chanzo cha Kanye West kumuacha huyu demu ndiyo baadaye Kanye west akaanza mahusiano na Kim Kardashian

    ReplyDelete
  2. msimlete huyo demu she is nobody, ni heri mumkaribishe Wema ndiyo itanoga sana na mkimkaribisha Wema watu wengi watakuja

    ReplyDelete

Top Post Ad