AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Na mwimbaji wa bongofleva Baraka The Prince ameingia kwenye headlines za kusimamia wasanii na sasa kaanzisha Label iitwayo BANA itakayosimamiwa na watu wawili ambao ni Baraka na mpenzi wake Naj.
BANA tayari imeshafanya mazungumzo na kujiweka kwenye mstari wa kufanya kazi kwa kuwasimamia Wasanii watatu akiwemo Rapper Lord Eyes
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hizo label kila kukicha du bongo ya leo kila mtu anaweza kuwa na label yake ndiyo maana wasanii wengi wa kibongo hawafiki mbali hao wenyewe Daraka na Naj hawajafika popote pale
ReplyDelete