AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Msanii Irene Uwoya amesema sasa hivi haigizi tena movie kwa kuwa soko lake limedoda na badala yake atakuwa anacheza series kwani ndio zinazouza
Ila amedai kuna movie walizocheza zamani zinakuwa processed zitatoka:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Yote hayo wameyasababisha wenyewe, kuiga mambo ya kizingu, kutukalia uchi, ndio kumesababisha yote hayo, mngefuata utamaduni wetu labda mngekuwa bado mnauza. Mlizani Watanzania ni wajinga watapoteza pesa zao kununua movie za uchi wakati mnajua kabisa kuwa Jamii yetu tunaishi na ndugu, wazazi n.k.
ReplyDeleteWaliiga kunya kwa tembo hata huku hao mstaaa wenye majina hawategemei kazi moja
ReplyDeleteSembuse nyinyi vistaa
Wengi mlitegemea wanaume wasio lipa kodi biashara zao
Magu kawakomesha
Pamoja na kumpigia kampeni
Na Magu hataki vichangu
Janet anamtosha nendeni shule
du mtoto wake kafanana sana na JB
ReplyDelete