PICHA : Meli Yenye Malori 600 ya Kiwanda cha Dangote Yawasili Mtwara

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote leo alipokuwatana na kufanya mazungumzo na Rais Dk Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam alimthibitishia kuwa hana lengo la kufunga kiwanda chake kama inavyodaiwa badala yake anatafuta fursa nyingine za kuwekeza hapa nchini.

Katika kuthibitisha hilo, Mfanyabiashara huyo alisema leo meli yenye malori mapya 600 kwa ajili ya kusambazia saruji yake itawasili nchini. Ameongeza kuwa lengo la kufanyabiashara hapa nchini mbali na kutengeneza faida pia ana lengo la kuisaidia serikali ya Tanzania kutengeneza ajira hivyo hana sababu ya kuagiza mali ghafi toka nje ya nchi ambazo zinapatikana nchini.

Baada ya kufanya mazungumzo hayo, meli yenye magari hayo 600 imetia nanga katika bandari ya Mtwara ambapo ndipo kiwanda cha Saruji cha Dangote kilipo.

Aidha, imeelezwa kuwa wiki ijayo meli nyingine kutoka Korea Kusini yenye malori 451 inatrajiwa kuwasili katika bandari ya mkoani Mtwara.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ahaji Aliko Dangote. Kwa Imani yako na Katika kumuenzi Allah. Umeona unawajibika kuendeleza na kuwatafutia Ajiria ndugu zako waliopo Tanzania. Dhana Hii ni Nzuri na tuaipenda Inshaalaah hapa hauto Dhulumiwa. Na tutahakikisha Chako cha Halali unapata Na chetu stahiki tunapata. Win Win situation on Both Parties. We thank you for What you AIM on. and will cooperate with you for the benefit of our / your Business Develpoment. Though competition and quality rules the Day. We are there for you. Hapa Kazi Tu

    ReplyDelete
  2. Ahaji Aliko Dangote. Kwa Imani yako na Katika kumuenzi Allah. Umeona unawajibika kuendeleza na kuwatafutia Ajiria ndugu zako waliopo Tanzania. Dhana Hii ni Nzuri na tuaipenda Inshaalaah hapa hauto Dhulumiwa. Na tutahakikisha Chako cha Halali unapata Na chetu stahiki tunapata. Win Win situation on Both Parties. We thank you for What you AIM on. and will cooperate with you for the benefit of our / your Business Develpoment. Though competition and quality rules the Day. We are there for you. Hapa Kazi Tu

    ReplyDelete
  3. Allah anampa mwenye roho safi.

    ReplyDelete

Top Post Ad