AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Alhamis hii, Wema Sepetu ameingiza mkwanja wa kutosha kwa kuhost shughuli ya ulaji bata iliyopewa jina la Powerball Thursdays, kwenye kiota cha raha kilichopo Nairobi, Kenya, XS Millionaires Club.
Kiota hicho kina kila aina ya anasa, hadi strippers au kwa lugha ya heshima kiasi waweza kuwaita pole dancers. Na kwakuwa Wema si wa mchezo mchezo, XS Millionaires palitapika jana.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Miss sepetu unajua kupendezaga saluteeee
ReplyDeleteTanzania Sweetheart
ReplyDeleteHiyo club ndiyo ya machangu doa jina limeandikwa hapo juu streaps srippes club du ndiyo maana kaalikwa ahost huko sababu wanamjua yeye ni nani
ReplyDeleteLakini kapendeza sana ata iweje
ReplyDeleteMuch obliged to you for exceptionally usefull data.. strippers in London
ReplyDelete