TANZIA:Mwanamuziki Mkongwe wa UK, George Michael Afariki Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki mkongwe wa nchini Uingereza, George Michael amefariki dunia nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 53.

Msemaji wake amedai kuwa mwanamuziki huyo aliyeanza kujipatia umaarufu miaka ya 1980s amefariki kwa amani huko Goring, Oxfordshire.

Taarifa ya msemaji wake imesema: It is with great sadness that we can confirm our beloved son, brother and friend George passed away peacefully at home over the Christmas period. The family would ask that their privacy be respected at this difficult and emotional time. There will be no further comment at this stage.

Moja ya mastaaa waliomlilia ni Sir Elton John aliyeweka picha yake kwenye Instagram na kuandika: I am in deep shock. I have lost a beloved friend – the kindest, most generous soul and a brilliant artist. My heart goes out to his family and all of his fans.”

Michael, aliyezaliwa kwa jina la Georgios Kyriacos Panayiotou, kaskazini mwwa London, ameuza zaidi ya nakala milioni 100 katika maisha yake ya muziki.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. maskini du na George Michael nae kafariki isije ikawa amekufa na Aids maana wasanii wengi ambao ni mashoga wamekufa na Aids, miaka 53 ni umri mdogo sana kwa mtu kufariki, nazipenda sana nyimbo zake zinazoitwa freedom na fast love

    ReplyDelete
  2. Kumbe George Michael hajakufa kwa ugonjwa bali alikuwa mnene sana kupita kiasi amefariki akiwa usingizini

    ReplyDelete
  3. na mimi naipenda ile nyimbo yake inayoitwa last christmas ambayo huwa inapigwa sana Ulaya wakati wa christmas, masikini christmas hii imekuwa ndiyo last christmas kwake amefariki wakati wa christmas

    ReplyDelete

Top Post Ad