FEZA Kessy Atoa ya Moyoni Kwa Chidd Benz na Nando

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


⏩ BY @fezakessy - Let's pray for our brothers and sisters who are caught up in drug addiction. Chidi ni rafiki yangu for many years Na Nando mdogo wangu, I will Not Post how they look like Now cos kwangu haijakaa sawa. #MadawaYaKulevya sio mchezo it's time tuache kunong'ona Na tuwe wazi! Hashtags Na Repost won't help jamaniiiii A plan is needed as a society to fight this devil.

Kwa wale ambao wanasema "wakafie mbali" mara "wameyataka wenyewe" let me tell you something;

Kuna watu wamezaliwa Na addictive personality, wanajaribu Mara moja na ndo mwanzo wa kujiuwa, wengine wanajaribu na wanaacha tu so muache kuhukumu watu kama vile nyie ni Mungu. There is nothing fair about addiction wao wenyewe wanakata tamaa.

We need to stop this drug business "Sisi" kama society, we need to teach about it and make our kids fear these drugs, and we also need to love the ones affected, pray for them because huijui Kesho it might come to your house.
Ni hayo tu for now.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli umetoa ya moyoni Fezza umefanya vizuri kuandika haya wanahitajika wengi kama wewe, big up

    ReplyDelete
    Replies
    1. HIZO DAWA WANAZIPATAJE WAKATI SERIKALI IPO?

      Delete
    2. Mimi mwenyewe nashangaa kuwa dawa wanazipataje wakati serikali ipo, mimi naishi majuu vile vile nashangaa madawa yanaingiaje huku majuu wakati Airport siku hizi kuna ulinzi mkali

      Delete
    3. Serikali iPo? Hata wewe ni serikali pia unapoona mambo hayaendi sawa katika jamii yako ni kuwabaini wahusika na kutoa tariifa. Hiyo unayosema Serikali ni watu Pia kama wewe kinachoitajika ni ushirikiano kuwabaini hao wahusika wa usambazaji na waletaji, kama ni raia wa kawaida au ni raia viongozi wenye madaraka makubwa katika nchi?

      Delete

Top Post Ad