AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Bro,as a celeb this is not the right way,you need to change your behavior especially on social media,this my piece of advice for you!!!
ReplyDeleteHata kama wapo watu wanaokuchukia kwa nini ubwatuke hivyo?ukikaa kimya ni bora zaidi kuliko hivyo ulivyofanya.UKIFUKUZANA NA KICHAA KWA KUPIGANA MAWE NA WEWE KICHAA.
ReplyDeletebill get hajajisifu hata siku moja na anapesa chafu. Domo acha ulimbukeni nyuma hata kobe anayo.
ReplyDeletekama unapesa mbona bado unaangaika na mziki. tena hutaki hata mtu awe juu yako. but Darassa kakukomesha. stupid mothefacker.
ReplyDelete40 ya mtoto wa Katunzi mpaka awaombe ma company wamlipie ili aonyeshe watu yeye ni tajiri kumbe anadanga usiku na mchana.
ReplyDeleteHahahaaa! eti anapesa na majumba. sasa anaelala nje ni nani? kweli uhayawani hauna mwenyewe.
ReplyDeleteUnaweza kuwa na pesa pamoja na mali za kutupa lakini ukakosa Amani ya Roho kitu ambacho ni muhimu sana katika maisha. Sasa Domo huna Amani ndani ya Roho yako pamoja na hivyo vijisenti vyako ambavyo hakuna watu wowote wale wanaovishobokea zaidi ya huyo Kijeba wako Zari pamoja na hao madansa wako na mademu wengine feki feki.
ReplyDeleteUnajifanya una maajabu. Ni maajabu gani hayo uliyokuwa nayo ambayo ni mapya saaaanaaaa hapa Duniani. Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake ikiwamo na zako hizo za bandia motherfucker........
ReplyDeleteWacheni awatukane kila kukicha viongozi wenu wanawaita washenzi hao eti ni mastaa ( Kioo cha jamii !! ) Mnafanya vibaru mpate pesa ili kwenda kuangalia shoo zao. Diamond wape ukweli wao malofa wa ki-TZ.
ReplyDelete