AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Nini tena kimemkuta malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu? Ama labda ameamua kutoingia mwaka 2017 kwa kumbukumbu za mwaka 2016?
Ni kwa sababu mrembo huyo ameamua kufuta picha zote kwenye akaunti yake ya mtandao wa Instagram yenye followers milioni 2.5.
Japo haijajulikana sababu ya kuamua kufanya hivyo, uwezekano kwamba ameamua kuukaribisha mwaka mpya kwa kupost picha mpya ni mkubwa.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
si kaamua tu sasa nayo mumeona habar
ReplyDeleteWema kapotea siku hizi hajulikani alipo, ni vizuri Wema kufanya hivyo kukaa mbali na media japo kwa muda maana ilikuwa ni kila siku mitandaoni usiwape watu nafasi kukuandika kila siku wewe jifiche tu kwani ni vizuri kwako kuwa watu leo wanakosa cha kuandika kuhusu skendo zako
ReplyDelete