Ujumbe wa Mbasha Instagram Wazua Maswali Mazito,Kumbe Alikuwa Mume Bwege Ili tu Anusuru Ndoa Yake..!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


LEO Januari 21, 2017 mwimbaji wa nyimbo za Injili hapa Bongo, Emmanuel Mbasha ameweka wazi kuwa jambo la kuelewana kwenye masuala la ndoa siyo la ‘kitoto’, linahitaji mmoja kati ya wanandoa ajifanye mjinga ili uhusiano yaweze kudumu.

Mbasha ambaye amekuwa kwenye mgogoro wa muda mrefu na aliyekuwa mkewe Flora Mbasha hadi kufikia hatua ya kupelekana mahakamani na ndoa yao kuvunjwa ameweka picha yenye maneno haya kupitia mtandao wa Instagram.

Tafsiri katika picha hiyo ya Mbasha kwa baadhi ya followers wake wamehoji endapo yeye aliachana na Flora kutokana na mmoja wao kushindwa kujifanya bwege?

Soma hii hapa chini.


“Ukiona Ndoa Imedumu kuna mmoja kajifanya Bwege”
mbasha

Emmanuel na Flora walikuwa wanandoa na kubarikiwa kupata mtoto mmoja kisha kugombana na kufikia hatua ya kuachana na sasa kila mmoja anaishi kivyake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bado una mpenda Flora move on kaka kasha enda ukweli unao wewe na mungu wako unalalamika sana kwenye mitandao enough is enough kuwa banaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad