Aunt Ezekiel Aeleza Kitu Ambacho Kilimuumiza Sana Kwenye Mahusiano yake na Mose Iyobo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa filamu ambaye ni mama wa mtoto mmoja, Aunt Ezekiel katika usiku wa siku ya wapendanao alifunguka na kuzungumzia kitu ambacho kilimuuza katika mahusiano yake na Mose Iyobo.


Akiongea na Bongo5 usiku wa jana katika show ya Valentine’s Day iliyoandaliwa na Irene Uwoya, Aunt amedai kitu ambacho kilikuwa kinamsumbua ni kuambiwa anatoka na mkata viuno.

“Kusema kweli kuna mambo mengi yanatokea kwenye mahusiano lakini mimi hakuna kitu ambacho kilikuwa kinaniumiza kama watu kuniambia natoka kimapenzi na mkata viuno, nilikuwa naumia sana kusema kweli,” alisema Aunt Ezekel “Lakini baadaye nikawa nashangaa wao ambao wanadai natoka na mkata viuno wakaanza kumtumia meseji Mose kwamba wanamtaka,lakini nashukuru sikukata tamaa mpaka sasa nipo na Mose na tunapendana sana,”

Muigizaji huyo amedai amevumilia vingi mpaka sasa ambapo anafurahia maisha yake akiwa Mose Iyobo ambaye ni dansa ya Diamond Platnumz.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HONGERA SANA DADA EZEKIEL KWA MSIMAMO WAKO MZURI. NASEMA HONGERA SANA. KWANI WENGI WENU ( WASANII KUACHANA UMEKUWA KAMA WIMBO WA TAIFA) MAISHA YA NDOA YANAHITAJI UVUMILIVU MKUBWA SANA. LASIVYO UTAMALIZA WANAUME. HAO MARAFIKI ZAKO WALITAKA MUUACHANE ILI WAMCHUKUE MMEO. KWELI WEWE NI KIO CHA JAMII. BIG UP AUNT. MAANA TUMECHOKA KUSIKIA SKENDO ZA WASANII LEO UTASIKIA MSANII FULANI KATANGAZA NDOA NA MSANII FULANI AU MTU FULANI BAADA YA WIKI KADHAA, MIEZIKADHAA UTASIKIA WAMEACHANA NA KIBAYA ZAIDI HUWA WANAPELEKANA HADI KWA WAZAZI WAO KUPEWA BARAKA. KUMBE HUWA WANAWACHOTA AKILI WAPENZI WAO. WAKIJIREGEZA TUU, UTASHAANGAA ACCOUNT HAINA HELA KISA SI KUMUAMINI AMBAYE HUJAMUJUA VIZURI. MMMHH HONGERA AUNT E.

    ReplyDelete
  2. asubiri. huyo mkata kiuno atakapomchoka aende kukikatia kwingine.

    ReplyDelete
  3. siku hizi mtu ukizaa tu ndo umeolewa? lol auibu hata boss wao nae anazini tuu. hakuna ndoa.

    ReplyDelete
  4. Huyu si aliolewa? Ndoa yake imeishaje au kashaachika?

    ReplyDelete

Top Post Ad