FULL VIDEO: Wema Sepetu Pembeni ya Freeman Mbowe Mahakamani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigizaji Wema Sepetu ameungana na viongozi wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Mahakama kuu Dar es salaam Tanzania ambapo muda mfupi baada ya kuonekana pamoja, Msemaji wa CHADEMA amethibitisha kuwa wanatarajia kumtangaza kama Mwanachama mpya…

 TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kawaida tu ya baadhi kwa baadhi ya wanawake wakikorofishana kidogo tu na waume zao, haooo wanakimbia kutafuta wanaume wengine. Wao kila kukicha wana wanaume wapya!
    Ni tabia yao na tabia ni kama ngozi, haimwachi mtu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahah!umeifanya siku yangu kuwa muruaaa.

      Delete
  2. Hapa natamani kusikia Zito anasemaje.

    ReplyDelete

Top Post Ad