Hamorapa Jeuri Hii Umeitoa Wapi...!!!!?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


DAR ES SALAAM: Akiwa bado anaendelea kutrendi kwa kuitwa ‘Nyani’ katika mitandao ya kijamii, msanii wa kizazi kipya anayefananishwa na msanii kutoka kundi la WCB Rajab Abdulhan ‘Harmonize’, Athuman Omary maarufu kama Hamorapa leo katika mitandao ya kijamii mashabiki wameibuka na kusema kuwa Hamorapa ametumwa.

Kwa habari ambazo bado hazijathibitika zinadai kuwa Hamorapa anatumiwa na wafanyabiashara wakubwa jiji Dar es salaam, inaonekana wazi kuwa hana uwezo wa kujieleza na anafundishwa jinsi ya kujibu maswali katika mahojiano mbalimbali. Pia hivi karibuni ameonekana katika mitandoa ya kijamii kuweka picha na video zinazomonyesha akiwa napesa nyingi na kazi anayofanya haijulikani.

Akihojiwa na Global Tv mwezi jana, Hamorapa alionekana wazi kuwa ni mtu asiyeweza kujieleza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. TATIZO liko wapi,kujua kujieleza na kipaji alichonacho..shame on u...the boy/HARMORAPA is real talented ukweli usemwe ilobaki jealous..km yule sokwe wa WCB Moses iyobo.kwa kweli iyobo kafanana vibaya sana na yule black sokwe km vile akikenua mdomo ata na ile nyingine...

    ReplyDelete
  2. kwakweli dogo(iyobo) amekosea sana,huwezi mfananisha binadamu mwenzako na mnyama yyt yule kiubaya.kwanza yule iyobo asili yake wake mbona hafanani na wabongo kabisa ile si mtu ya kongo.sasa anaishi kihalali hapa km vp apigwe bomba kwao huko labda anamtamani mwenzake amle nyama maana kule kongo wale wanyama kule kitoweo km ngombe..shwayne..mwenyewe anajiona handsome na denge lake mkataviuno huyo/jealous HARMORAPA ana CHANA in talented.. BIG UP HARMORAPA..

    ReplyDelete

Top Post Ad