Issue ya Masogange Kushikiliwa na Polisi ka Kuhusika na Madawa ya Kulevya, Uwoya Amlipua Wema...!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Lile sakata la masogange kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya, limeingia ukurasa mpya baada ya hivi karibuni rafiki wa masogange ambaye pia ni staa wa filamu aitwaye Irene uwoya, kumjia juu wema sepetu baada ya kumtaja masogange kuwa mi miongoni mwa ma staa wanaotumia na kuuza madawa ya kulevya, staa hyo alitumia tafsida kufikisha ujumbe kwa wema sepetu kuwa alichokifanya sio ustaarabu ,alimtaka staa hyo kujifunza kutatua matatizo yake bila kumshirikisha mtu. 

Wema na uwoya ni mastaa ambao inasadikiwa wako kwenye bifu la chini kwa chini kwa muda mrefu, uenda sakata hili linaweza kuibua ugomvi mkubwa kwa mastaa hao wawili wenye mvuto wa aina yake

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu nae kafufukia wapi? embu akamtafute yule bwana alomuacha kwenye mataa.

    ReplyDelete
  2. kila mtu anamjua kama Masogange ni punda, sasa cha ajabu ni nn kwa uwoyar? au alimpa zake azipeleke south. kakwama?

    ReplyDelete
  3. ukweli unaumaa? walivyofurahi Wema kushikwa waliona rahaaaa! na akina matumbozzz kumpiga vijembe sasa kibao kimemrudia nyumba ndogo kelele nyingiiii.tulia uwoya nae atatoka. usitafute kiki watu walishakusahau.

    ReplyDelete
  4. Mbona manji hamsemi na kila mtu anajua manji ni teja

    ReplyDelete
  5. WEWE MDADA UWOYAR WASHA ZAKO MANAJICHIMBUWA KUJIONESHA WABA YA WA WEMA KINACHO KUMANIN

    ReplyDelete
  6. Enter your comment...wema kazingua alitakiwa ayamalize yy mwenyeww apo tayari ameshamsababishia mwenzake matatizo




    ReplyDelete

Top Post Ad