Maneno ya Afande Sele kwa Paul Makonda kuhusu Madawa ya Kulevya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Afande Sele ni miongoni mwa wasanii wa siku nyingi Tanzania ambao wamekua wakifatilia pia na ishu za siasa na mengine yanayoendelea ambapo leo hii ametumia time yake kuandika kwenye Facebook kuhusu ishu ya  dawa za kulevya iliyotangazwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda.

Afande ameandika
‘Katika hili sakata la MAPAPA na MAPUNDA ya Unga kama kweli braza Paul yupo serious na sio ‘Matango Pori’kama tulivyoona ktk masakata mengine,huenda hata wale WASAFI wakaonekana wachafu…kila la kheri Mr Paul….RiP Da Amina…wacha parry ianzeee…..’
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Afande Sele naye anavuta nini ? mbona macho dhahiri shairi,toa boriti kwanza ktk jicho lako kabla ya kibanzi kwa mwenzio!

    ReplyDelete

Top Post Ad