Nitakubali Utetezi wa Steve Nyerere Endapo Nitajibiwa Maswali haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maswali niliyoyapata baada ya utetezi wa Steve kuhusu kukana matamshi yake aliyorekodiwa kwamba alikuwa anatania;

1. Aliyeonekana Dodoma napo hakuwa yeye?

2. Nape, Msukuma na Mwigulu walipata wapi Namba ya simu kumpigia Mama sepetu?

3. Nani aliyesababisha Nape kutoa kauli yake?

4. Nani aliyetoa siri za Mali ya makonda?

5. Je wana utani na mama Sepetu? Kwanini awaingize viongozi na mawaziri (Nape, Msukuma, Mwigulu) na si wengine kama hakuna ukweli?

6. Kwanini hakufika central police kumsindikiza dadake kama Hakupigwa marufuku kukanyaga na RC?

7. Kwanini simu yake alizima wakati Wema Sepetu alipokamatwa?

8.Kwanini kajibu tuhuma za Audio punde tu baada ya kutoka police?

9. Yupo tayali kukabiliana na ushahidi utakaotolewa na Mama Sepetu?

10. Ni kipimo gani kitaonyesha maneno aliyosema mbele ya waandishi yaaminiwe kuliko aliyoyasema kwenye Audio huku akithibitisha Kwa vitendo?

VINGINEVYO UTETEZI WAKE NI WA KUPUUZWA

By Mswangilishi/Jamii Forums



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. njia ya muongo ni fupi akubali tu kitu cha kushangaza ni kuwa why suddenly ame change ana twist maneno ukweli unabaki kuwa ukweli na kawaida ukweli ukidhihirika uongo unajitenga so kuwa mkweli ukaubalibulio nena na hao wenye kutongoza watu na kuhonga watu wachukulie hatua waitwe kujibu sio kudhulumu watu ovyo ovyo ukikataliwa ulipize kisasi kwa kusingizia uongo au usaidiwe kuonekana ni mkweli ulete watu kwenye media waonge suali why did you invite TID nyumbani kwako? mbn mutaboa hivo

    ReplyDelete
  2. Makonda alikuwa anamtumia Wema akaona bora amtongoze ili awe huru kabisa kwa Wema. na Stiv ni kuwadi wake. so Madam kashtuka kamkataa Makonda ndo akatafuta kila hila amuweke ndani. ila Mama Sepetu atakuja kulimwaga anasubiri kesi ya mwanae iishe.

    ReplyDelete
  3. Aliyoyaongea na mama wema ndo ukweli wenyewe asitufanye hatuna akili kama yeye nashangaa kapelekwa polisi kisha kaachiwa kama ni Uchochezi huyo ndo kaufanya hasa maana kataja majina yule mwaanachuo wa arusha aliandika neno bwege Bila kutaja jina la mtu tulishuhdia alovyotiwa jambajamba serikali isipomchulia hatua huyo Steve kibogayo binafsi siielewa yaani

    ReplyDelete
  4. Huyu dogo Steve ni kiherehere sana watu wafupi bana kwa vitimbwi!Sasa vimemtokea puani kudadeki

    ReplyDelete
  5. Huyu stive ni muongo sana, mama yake Wema alimuuliza swali stive mbona aukuja kumuona Wema alipokamwatwa? Mama yake wema hakaendelea nilikuwa wema ni kama dada ni wewe stive wakutokuja kumuona , basi bwana stive ndipo alipoanza kusema mambo mengi sana sisi wengine atukuyajua wacha hamwange mpunga,kwa ufupi stive ni muongo sana wacha kujitetea harafu unajifanya kulia wakati wewe ndio uliongea yote,

    ReplyDelete

Top Post Ad