Shamsa Ford : Matatizo Yamenifunza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford ambaye siku za karibuni muwewe alipatwa na maswahibu na kujikuta chini ya mikono ya polisi kwa tuhuma za kujihusisha na matumizi au kufanya biashara ya madawa ya kulevya.

Inawezekana kufuatia matatizo aliyopata muwe wake, Shamsa Ford amepata kujifunza kuwa siku zote watu ambao wewe unaweza kuwaona ni marafiki wakawa ndiyo maadui wakubwa katika maisha yako. Shamsa Ford anasema muda mwingine inawezekana mtu ambaye huna hata muda naye pengine ndiye mwema kwako kuliko hao unaokuwa nao karibu kila wakati.

"Mtu anayekupenda na mwema kwako ni ngumu kumjua, ukute hata huwa hakuongeleshi na hana time na wewe. Ila ukipatwa na shida ndo utamjua ila wale ambao kutwaa uko nao, unacheka nao, unawaamini hao ndiyo maadui zako wa kwanza. Ukidondoka kimaisha au mkigombana kidogo ndiyo wa kwanza kutangaza siri zako, kuwa makini na binadamu kwani binadamu wa sasa hata usipomkosea atakuadhibu tu" aliandika Shamsa Ford
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole sana ni mtihani na utavuka binadamu ndivo tulivo Mwenyezi Mungu akupe nguvu you dont deserve all this

    ReplyDelete

Top Post Ad