AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Naibu Waziri Kigwangalla ameahirisha mkutano wa waandishi wa habari alipotegemewa kutaja wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Dkt Kigwangalla amesema kuwa ameshindwa kufanya mkutano huo na kuwataja mashoga hao wanaojiuza mtandaoni kutokana na sababu za kiufundi.
Mnamo tarehe 6 mwezi Februari Naibu Waziri huyo alimtaka kijana anayefahamika kama James Delicious kufika kituo cha Polisi kwa kujitangaza kuwa ni Shoga. - #regrann
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Wanasheria wa chadema wanakuona,muda si mrefu watainunua kesi.
ReplyDeletehahahaaaaaaaaaa hilo nalo neon hawakawii kudai haki
Delete