Young Dee Avamiwa na Kuibiwa Simu na Pochi, Amtuhumu Van Dame

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki wa hip hop, Young Dee amefunguka kwa kudai kuwa usiku ya juzi alivamiwa na mtu anayedaiwa kuwa ni Van Damme wa Sinza ‘Damme’ na kuporwa simu pamoja na pochi yake ambayo ndani ilikuwa na vitambulisho mbalimbali.


Rapper huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Young Daddy’ ameomba kwa yeyote atakaye okota kitambulisho chake atoe taarifa.

Usiku Wa kuamkia juzi, tulivamiwa na jamaa anaesemekana ni Dame Wa sinza, nikiwa nimekesha studio maeneo ya sinza palestina kwa Mr T Touch,” aliandika Young Dee Instagram.

Aliongeza,
“Sasa juhudi za kumpata zimekua ngumu maana amekua na matukio ya hivo mara kwa mara juzi kaiba simu mbili moja ni yangu (iphone6s+) na Samsung na wallet yangu iliyokua na vitambulisho vyangu pamoja na Card ya bank, Sasa kwa yoyote ataepata taharifa itayoweza kunisaidia naomba anifate Dm tafadhari! 🙏 Tag wana wote Wa sinza tusaidiane kwa hili!,”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad