Mkali wa Bongo Fleva Diamond Platinums Amefunguka Kuwa Hawezi Kumkandamiza Harmorapa kwa kutumia jina linalofanana na harmonize kwani staa huyu naye anatafuta maisha.
Diamond Amesema kuwa anampongeza Harmonize kwa kazi nzuri anazofanya hali iliyopelekea kupata shabiki anayevutiwa naye na kutamani kuwa kama yeye .
Aidha Staa huyo anayeweka na trak yake ya Marry You amesema kuwa Harmorapa Anatakiwa Kuungwa Mkono kama wasanii wengine kwani huenda alitafuta sana nafasi hii kwa muda mrefu.
una busara sana!
ReplyDeleteUNABUSARA ZAIDI YA SANA DOGO,HUNA MAJIVUNO KM YULE ALLY KIBA.UNAPIGIWA MAGOTI MTOTO WA KIISLAM UMETULIA KWENYE SEAT YA GARI WEWE,BAADA YA KUMKATAZA ANAYE SUJUDIWA NI MUNGU PEKE YAKE..NA VIJITABIA VYA KUNATANATA-MWAMBIENI AACHE MARA MOJA KM MTOTO WA KIUME..
ReplyDeleteAmo lapa..ni habali ingine..moto wa kuotea mbali..lazima tufanye nae kolabo..hata Salam aliulizia..meneja qake lazima alete msukumo...!!! pamoja sana lapa..Darassa na king pia..Umeshaingia kwenye game Ben Pol vile vile..wewe ni tishio katika game woopa kaanae mbali.

ReplyDeleteMTOTO ANATAKA ATOKE MPENI SHAVU ATOKE,NA NDO KESHA KUWA FAMOUS.KM ULIVO ELEZEA SIMBA KATOKA MBALI MPAKA KUFIKA HAPO..KWA KWELI HARMORAPA ANAWEZA KUCHANA ...SIO SIRI MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI-ANAWEZA KUCHANA/KUIMBA..ATAFIKA MBALI..
ReplyDeleteTehteh
ReplyDeleteMy comet. amo lapa tishio
ReplyDelete